Mke ametoroka, nami sitaki kuishi naye tena. Sheria inasemaje?

Mke ametoroka, nami sitaki kuishi naye tena. Sheria inasemaje?

Mkuu kuhitaji taraka mapema hv naona kama siyo sawa mtafte kwaza kisha familia zikae kwa hatua za awali hapo ndy unaweza chukua hatua zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah watu wanabadilika sana, Mliwahi kuitana Sweetheart, Dear, Bae xoxoxoxoxoo halafu ghafla mnafikia kutaka kutoana Uhai?? MUNGU awabariki
tehe tehe tehe
 
Download sheria zifuataazo uzipitie
1. Sheria ya ndoa mwaka 1971
2. Mwenendo wa makosa ya jinai (CPA)
3. Sheria ya adhabu (PCT)

Ila pia itategemea imani na dini yako inasemaje kuhusu kuvunja ndoa (ukristo- hadi kifo kiwatenganishe, uislam-talaka inaruhusiwa)

Ndoa hailazimishwi kaka
 
Back
Top Bottom