Mke ana besi

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Wandugu nishakuwa na jirani yangu mke ana sauti nzito kweli kweli na mme ana kasauti kepesi tu, mwanamke ameumbika vizuri sana tu ila hiyo sauti ya besi ndio hoja yangu. Ukiwa unapita nje halafu wao wako ndani wanaongea, inachanganya!

Hivi kama mwanaume unajisikiaje kuwa na mke mwenye sauti nzito kinoma wakati wewe sauti ya pili!? Najua ni maumbile hawajitakii, lakini je wajikiaje? Na miguno yake pengine hata wakati wa shughuli ni besi pia.
 

Tatizo ni pale mwanaume anapoomba mchezo na kubembeleza kwa sauti nyembamba na mwanamke anapochelewesha na kujitetea kwa sauti nzito. Patamu hapo!
 
Tatizo ni pale mwanaume anapoomba mchezo na kubembeleza kwa sauti nyembamba na mwanamke anapochelewesha na kujitetea kwa sauti nzito. Patamu hapo!

Yaani upo mawazoni mwangu kabisa, hebu pata picha hapo, stimu yaja vema!?
 
Mkuu sijajua hiyo besi yake ni kiasi gani lakini sometimes sauti tofauti ni sexy mfano Maya Angelou, Toni Braxton..., sio besi as such lakini they are different, yaani ziko unique... hata ya Halima Mdee.., kwahiyo hata hiyo tofauti ina uzuri wake.
 
mkuu, mwanamke ni sauti nyororo bana,
dem akiwa na sauti bass, time ya kudinjana
bora anyamaze kimyaa, otherwise hata ile
shaft inaweza ku-drop dead isinyanyuke:sad:
 
mkuu, mwanamke ni sauti nyororo bana,
dem akiwa na sauti bass, time ya kudinjana
bora anyamaze kimyaa, otherwise hata ile
shaft inaweza ku-drop dead isinyanyuke:sad:
Mkuu kila kitu kina uzuri wake sikatai lakini hata sauti ikiwa unique pia kuna uzuri wake hebu msikilize huyu
YouTube - And Still I Rise
YouTube - Maya Angelou 1993 Bill Clinton Inauguration

au Toni Braxton kwenye another sad love song..., sio nyororo lakini ina utamu wake..., au ile ya Halima Mdee....

Sometimes been different kuna utamu wake..
 

Hahahah and voiceofreason is displaying a myriad of voices!! For me, I take it to understand those with bass (ladies) r extra wise..and command respect.. U know..unasalute bila yy kukuambia
 

Hawa wana tu-besi, mimi namaanisha besi nzito kweli kweli, mfano kama ya Masoud Masoud wa Redio Uhuru. Kuna mifano ya wanaume wenye besi lakini bahati mbaya sio maarufu hata nikiwataja hapa. Ila mama Maya naye akitulia bila kuweka madoido ya kike ana besi kiasi chake.
 
Hahahah and voiceofreason is displaying a myriad of voices!! For me, I take it to understand those with bass (ladies) r extra wise..and command respect.. U know..unasalute bila yy kukuambia

I think anyone can turn what is perceived to be a disadvantage to their advantage..., actually I like to listen to Maya Angelou, or when Halima Speaks (Though not bass but unique voice) I tend to listen.., You know that individuality.. thats what makes a person who she/he really is (complete package) I dont think Maya would be Maya with Whitney Houston Voice..
 

you mean bass kama hii YouTube - Barry White - Can't Get Enough Of Your Love Baby.

lakini Mkuu hebu sikiliza hii sauti ingawa sio nyororo lakini nadhani hata wewe roho itapenda
http://www.youtube.com/watch?v=5D6UmZx6ruk&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=PLsLjhZetxU
 
Inawezekana ni besi lakini kwenye mchezo ikawa inasisimua zaidi.
 

kwenye red.........nisaidie.
1. ni wewe mwenye? au
2. wewe unachakachua kwa jirani
 
besi halafu lafdh ya kichaga au kiarusha,lazma uwe mtu wa kuvuta hisia hahahahahh:coffee:
 

wanawake wenye besi ama ndevu wana siri fulani nzuri sanaaaa
 
siri gani na wewe wakati siku hizi ndevu nyingi za mikorogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…