Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Wandugu nishakuwa na jirani yangu mke ana sauti nzito kweli kweli na mme ana kasauti kepesi tu, mwanamke ameumbika vizuri sana tu ila hiyo sauti ya besi ndio hoja yangu. Ukiwa unapita nje halafu wao wako ndani wanaongea, inachanganya!
Hivi kama mwanaume unajisikiaje kuwa na mke mwenye sauti nzito kinoma wakati wewe sauti ya pili!? Najua ni maumbile hawajitakii, lakini je wajikiaje? Na miguno yake pengine hata wakati wa shughuli ni besi pia.