Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unajuaje kama utaishi sikuzote? ukifa nani atarithi hiyo nyumba? kama mkeo then its ok kama kuna ndugu na wazee ambao wanaweza kurithi nyumba yako kwa hiyo inabidi mkeo afukuzwe kwenye nyumba... and if i am in that women shoes then I will worry to be honest... na kama unampenda mke wako haina haja yakutia wasiwasi eti atakuacha... kwani hujiamini? unadhani akitaka kukukimbia atashindwa?Hapo ndipo mie Baadhi ya mambo yananishinda,Yaani wewe ni mke wangu,nyumba ninayo na tunaishi wote humo ndani ,.halafu yanaanza mambo eti nimnunulie wife nyumba yake?Does it make sense?kuna haja gani iwapo tunaishi pamoja,.mwanamke afikirie future yake ,ndio nimnunulie nyumba?future gani tena kama sio tamaa?Kazo mengine lol.
Kwani unajuaje kama utaishi sikuzote? ukifa nani atarithi hiyo nyumba? kama mkeo then its ok kama kuna ndugu na wazee ambao wanaweza kurithi nyumba yako kwa hiyo inabidi mkeo afukuzwe kwenye nyumba... and if i am in that women shoes then I will worry to be honest... na kama unampenda mke wako haina haja yakutia wasiwasi eti atakuacha... kwani hujiamini? unadhani akitaka kukukimbia atashindwa?
Yes it make sense... hivi kwanini watu wana waandikia watoto wao nyumba? kwa ajili wasije kudhalilika baadae? ....in doing that u will secure her life too... kamnunulie mkeo nyumba acha kubania tuhela baba....
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...
sayansi inasemaga wanawake wanakufa mapema, ukifa wewe mwanzo je na kajumba nishakuandikiaga? nikalale wapi? eeeh!(naombaga jibu in inglishi plizi) kwanza mwanamke kajumba ka nini? nikifa si utaolewaga na kapedeshee kengine katakuweka kwenye nyumba bana , wanasemaga "mwanamke mlembo hadodi"
acha nilog auti , (baskeli imepasuka mpira nawahi kwa fundi)
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani ikiwa kwa jina langu. Akaniambia kuwa yeye
amezoea kwao, yaani baba yake kila anaponunua nyumba au gari anaandika kwa jina la
mamake.Nikamwamwambia nipe muda nifikiri, na leo kanikumbushia tena. Sasa nimeona
hii issue niilete hapa jamvini ili mnipe ushauri wenu wa busara...
hii yote inapelekea wanandoa kukaa kimachale machale mguu mmoja ndani mwingine nje. Nasema wote kwa kuwa- kama ni mapenzi huyu baba hakuwa na haja ya kusubiri kuambiwa abadili jina la hati ya nyumba. kama hali ingekuwa inaeleweka ni wazi kwa mapenzi alonayo kwa familia yake angebadili na kuweka iwe mali ya wote lakini kitendo cha yeye kuendelea kuwa na mali yenye jina lake ina maana naye bado ana kajiubinafsi flani ambako kwa sababu anazozijua yeye bado ameendelea kuwa nacho.
asante,,,
na hamtakuja kuwaelewa wanawake wenye kuona mbali kwa nia nzuri,mali ni ya wote
na sheria inasema wether ulikuanayo kabla ya ndoa,ukishaingia tu ni ya wote
jua tu jinsi ya kupambana na wezi
haha klorokwin sasa ntabishana na nani ukisha log out... ? kazibe tairi halafu uje tubishane...sayansi inasemaga wanawake wanakufa mapema, ukifa wewe mwanzo je na kajumba nishakuandikiaga? nikalale wapi? eeeh!(naombaga jibu in inglishi plizi) kwanza mwanamke kajumba ka nini? nikifa si utaolewaga na kapedeshee kengine katakuweka kwenye nyumba bana , wanasemaga "mwanamke mlembo hadodi"
acha nilog auti , (baskeli imepasuka mpira nawahi kwa fundi)
its oposite?!
Kwani jamani kakosea wapi? si ndio yale mambo ya sie kwetu tunaoana wenyewe kwa wenyewe? Baba kamwuoa mama, Babu kamwuoa Bibi, Mjomba na shangazi hahahahahha huyo dada hajatulia ah
Ila nikwambieni kitu dunia ya sasa haiaminiki kabisa. Last month nimeshuhudia family friends wetu wazazi wale wawili, baba keshastaafu kabisa muda tu amemfukuza mkewe waliyezaa nae watoto wakubwa kabisa na mama kaondoka bila hata kisoda ah. Kwa kweli hii imenifanya niwa na second thought juu ya maisha ya ndoa. IT IS A TRUE STORY jamani. Nimeumia as if mie ndo nimetalikiwa (tena kisa basi hata hakieleweki baba anasema tu mie simtaki!! Imagine over 30 years ya ndoa!! Mama kainvest hewani.
But ningemshauri huyo mdada asing'ang'anie kile alichochuma mume sana sana apiganie viandikwe majina ya watoto wao na yeye ajiwekee akiba hukooooooooo. NDIO AINVEST (kwa pesa yake ) KWA SIRI. HAKUNA IMANI TENA NA HII INSTITUTION.
JIONI NJEMA
Ndio maana tunasema kuna kilichomtrigger mama huyu kudai hivyo!! Kwa nini tangu mwanzo Mr asibadili aweke la wote au hata mtoto kama wanaye??? Tuone kama mama angedai litolewe lile la Mr and Mrs au la mwanae liwekwe la kwake? Kwa kweli sometimes tunajitega wenyewe.......... Mimi sielewi mwanaume anapojiona yeye ana haki ya kumiliki kitu ila mkewe hana. Yaani swali tungemwuliza huyu mtoa mada amedai mkewe anadai nyumba iandikwe jina lake na je kwa nini yeye mpaka sasa hivi keshaoa bado ana vitu vyenye jina lake tu as if yeye yuko single???na kama kwenye ndoa mali ni ya wote kwann mke atake jina liandikwe lake si ubinafsi pia huo?
Ndio hapo sasa dada tukiwa makini toka mwanzo tunaambiwa tuko materialistics zaidi. Mie haya maisha ah nimeyanyanyulia mikono na miguu juu- I salute it kwa kweli.hapo ndio watu wanatakiwa wawe makini kuanzia mwanzo, ndio mana naona vitu vinavyochumwa viandikwe majina ya watoto tu, mengineyo mtu aandike jina lake, mweh cna imani na hawa viumbe mie, halizwi mtu hapa.