Mke anaependa vitu vizuri lakini maendeleo hataki

Mke anaependa vitu vizuri lakini maendeleo hataki

Mousty6462

New Member
Joined
Nov 24, 2023
Posts
2
Reaction score
4
Wana Jamii Naomba Msaada Wa Mawazo Mke Wangu Hakuna Kitu Ambacho tunaweza Kuongea Tukaelewana Labda Niongee Kuhusu Chakula kizuri ndio tunaweza kuelewana Lakin Kuhusu Maendeleo Yetu Yeye Amekuwa Si muumini wa mambo hayo Maana Kuna Mtu Mmoja Alisema MAWAZO USIYAFANYE KUWA SIRI YATAKUSHINDA NGUVU
 
Kwani chakula kizuri si maendeleo mkuu?Tumetofautiana utashi hence kutofautiana priorities.Sasa kama anapenda Fancy food wewe badili kuwa fursa mfungulie hotel ya nyota 5 uone atakavyo changia maendeleo yenu.When life gives you lemons,you squeeze the juice and make lemonade or something
 
Huyo Mwanamke hakupendi na wala hana malengo nawewe.

PIGA CHINI

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acha kumlisha Mtoto wa watu maboga na mlenda kenge wewe kwa kigezo cha kujenga kibanda uchwara
 
Maendeleo yanawezekana Kama ukiTumia vizur mamlaka yako Kama baba na kichwa Cha familia
Nb: punguza demokrasia kwenye familia yako
 
Haya maisha ya ndoa usitegemee kichwa cha mwanamke,
Ukipata mwanamke smart u a lucky lakin wew jipange kutumia kichwa chako siku zote
 
Wana Jamii Naomba Msaada Wa Mawazo Mke Wangu Hakuna Kitu Ambacho tunaweza Kuongea Tukaelewana Labda Niongee Kuhusu Chakula kizuri ndio tunaweza kuelewana Lakin Kuhusu Maendeleo Yetu Yeye Amekuwa Si muumini wa mambo hayo Maana Kuna Mtu Mmoja Alisema MAWAZO USIYAFANYE KUWA SIRI YATAKUSHINDA NGUVU
Me tunakwama wapi kukata miti na kupanda miti, mbona Wanawake wengi sana japo Wake ni wachache na rahisi sana kuwapata kwa uwezo wa Mungu?
 
Back
Top Bottom