Mousty6462
New Member
- Nov 24, 2023
- 2
- 4
Me tunakwama wapi kukata miti na kupanda miti, mbona Wanawake wengi sana japo Wake ni wachache na rahisi sana kuwapata kwa uwezo wa Mungu?Wana Jamii Naomba Msaada Wa Mawazo Mke Wangu Hakuna Kitu Ambacho tunaweza Kuongea Tukaelewana Labda Niongee Kuhusu Chakula kizuri ndio tunaweza kuelewana Lakin Kuhusu Maendeleo Yetu Yeye Amekuwa Si muumini wa mambo hayo Maana Kuna Mtu Mmoja Alisema MAWAZO USIYAFANYE KUWA SIRI YATAKUSHINDA NGUVU