Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ndugu yangu huo muda ni mfupi sana
Sifa ya kwanza awe muajiliwa au kajiajiri
Sifa ya pili awe tayari na miaka kuanzia 25 mpaka 35,
Asiwe na zaidi ya mtoto moja
Sichagui dini wala kabila
Awe mzuri wa wastani na mnene kiasi na wowo kidogo
Mambo mengine tutaongea tukishafahamiana