Mke anahitajika haraka!

Mke anahitajika haraka!

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Kama kichwa kinavyojieleza..
Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months
Sifa:
  1. Muislam
  2. Hajazaa
  3. Between 20-30 yrs
  4. Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada
  5. Elimu yeyote
  6. HIV free
Sifa zangu
  1. Muislam
  2. Elimu Post-graduate
  3. 35 years of age
  4. HIV free
  5. Naishi Dar
Aliye serious tu ani PM
 
Mkuu mbona hujawawekea kuwa una mali/pesa kiasi gani? Maana sikuhizi hizo pia ni kigezo
 
Wa haraka hahaha hahaha atakuwa Dada poa huyo
 
Kama kichwa kinavyojieleza..
Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months
Sifa:
  1. Muislam
  2. Hajazaa
  3. Between 20-30 yrs
  4. Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada
  5. Elimu yeyote
  6. HIV free
Sifa zangu
  1. Muislam
  2. Elimu Post-graduate
  3. 35 years of age
  4. HIV free
  5. Naishi Dar
Aliye serious tu ani PM
Mke siyo Nguo kuwa utaenda Dukani ukanunua............................Acha utoto..............!!!!
 
Unatafuta mke kama unatafuta waitress!
 
Kama kichwa kinavyojieleza..
Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months
Sifa:
  1. Muislam
  2. Hajazaa
  3. Between 20-30 yrs
  4. Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada
  5. Elimu yeyote
  6. HIV free
Sifa zangu
  1. Muislam
  2. Elimu Post-graduate
  3. 35 years of age
  4. HIV free
  5. Naishi Dar
Aliye serious tu ani PM
Da we fala unavyonadi kutafuta mke kama unatafuta Vitz bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mmmmmh mtafuta mchumba kwa harakaharaka km yy mwenyewe alivyokuwa na haraka nafikili ni mwalimu, vipi brother unataka kuandika barua ya maombi ya fedha za nauli ya likizo unataka kuambatanisha na cheti cha ndoa ?,maana hiyo haraka haraka imezidi aiseee.nakutakia Kila la kheri
 
Utampata unaye mtaka...ila vumilia...utakachokutana nacho kiwe siri yako
 
natafakari kwa harakaharaka hapa km yy mwenyewe alivyokuwa na haraka nafikili ni mwalimu, vipi brother unataka kuandika barua ya maombi ya fedha za nauli ya likizo unataka kuambatanisha na cheti cha ndoa ?,maana hiyo haraka haraka imezidi aiseee.nakutakia Kila la kheri
 
Back
Top Bottom