Wanakuja sasa hiviSifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike ana miaka 2 6.Dini yangu ni mkiristo SIFA ZA MKE NINAEMHITAJI. 1.Awe mcha Mungu 2.awe na Umbo la kawaida asiwe mrefu wala mfupi wala mnene 3.Swala la sex mpaka hatua zote za ndoa zikamilike. MENGINEO TUTAFAMISHANA PM.unakari ishwa kuuliza swali lolote kabla haujaja pm Ila kama swali linajibika hadharani hapa nitakujibu kama halijibiki nikujibu pm kalibuni ,
Unafanya kazi gani mchumba?
Haa HaaUnafanya kazi gani mchumba?
Mmh! sijuw yupo serious huyu au ndo kama yule..... Kani.... Halafu habar ya Ndoa ikaishia hapo hapo mpk leo.Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike ana miaka 2 6.Dini yangu ni mkiristo SIFA ZA MKE NINAEMHITAJI. 1.Awe mcha Mungu 2.awe na Umbo la kawaida asiwe mrefu wala mfupi wala mnene 3.Swala la sex mpaka hatua zote za ndoa zikamilike. MENGINEO TUTAFAMISHANA PM.unakari ishwa kuuliza swali lolote kabla haujaja pm Ila kama swali linajibika hadharani hapa nitakujibu kama halijibiki nikujibu pm kalibuni ,
Kwamba mtungi haupandi jogoo ama? [emoji38][emoji38][emoji3061]Kigezo cha no kusex before marriage kitawakuta kitu aisee
Utajua hujuiKwamba mtungi haupandi jogoo ama? [emoji38][emoji38][emoji3061]
Asiwe mnene wala mwembamba, aswe mrefu wala mfupi.........mtu ka huyu sjawah kutana nae [emoji2955]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kigezo cha no kusex before marriage kitawakuta kitu aisee
Mmh! sijuw yupo serious huyu au ndo kama yule..... Kani.... Halafu habar ya Ndoa ikaishia hapo hapo mpk leo.
Yan nyie wanaume mna dhambi sana aiseee