Mke anahitajika kwa muda mrefu

Mke anahitajika kwa muda mrefu

Why no sex before marriage??

Yan mtoto wa mtu ajitose na kitanzi cha mpaka kifo kitutenganishe afu aje akute haiamki au inachechemea.

Aloooo me nikija jiandae kuonjwa braza 🤣🤣

Cc Darlin
 
Asiwe mnene wala mwembamba, aswe mrefu wala mfupi.........mtu ka huyu sjawah kutana nae 🤨
Asiwe mnene wala mwembamba awa wanachezaga ndani ya kg 60 na hawatoki nje ya kg 75.

Asiwe mrefu au mfupi, asiwe mfupi Kama Tausi mdegere na asiwe mrefu kama Getruda Mwita. Kama huwajui hao pole 😂
 
Mmh! sijuw yupo serious huyu au ndo kama yule..... Kani.... Halafu habar ya Ndoa ikaishia hapo hapo mpk leo.
Yan nyie wanaume mna dhambi sanaaiseee
Pole 😂 usingempa mpaka ndoa.
 
Mmh! sijuw yupo serious huyu au ndo kama yule..... Kani.... Halafu habar ya Ndoa ikaishia hapo hapo mpk leo.
Yan nyie wanaume mna dhambi sana aiseee

Wewe ndo huyo kwa avatar?....."kani".... ulimaaanisha nini?
 
Mmh! sijuw yupo serious huyu au ndo kama yule..... Kani.... Halafu habar ya Ndoa ikaishia hapo hapo mpk leo.
Yan nyie wanaume mna dhambi sana aiseee
We mbona mrembo hivi kakuachaje? Ningekua mm ningekua nmeshakuoa sahivi
 
Why no sex before marriage??

Yan mtoto wa mtu ajitose na kitanzi cha mpaka kifo kitutenganishe afu aje akute haiamki au inachechemea.

Aloooo me nikija jiandae kuonjwa braza [emoji1787][emoji1787]

Cc Darlin

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom