Mke anahitajika miaka 35-45

Mke anahitajika miaka 35-45

Ila jamii forums mtu anapost Uzi wake serious Ila sasa comments 🤣

Utapata mwaya. Kila aombaye hupata.

Nje ya Mada: Huu uzi Angekuwa amepost mwanamke angeshatakiwa kujaza full scape ya kwanini amechelewa kupata mwenza na comments za kejeli kibao. Kweli nafasi ya mwanamke katika jamii hasa aliyevuta kuolewa ni ya kufikirisha.
 
Nahitaji mke mkristo. Umri nimeutaja hapo juu. Awe na hofu ya Mungu na asiwe mlevi wa pombe. Mwenye upendo na nia thabiti y kujenga mahusiano imara na mume wake. Ana nia ya kufurahia ndoa yake na kunifanya mm mume wake mwenye furaha. Umri wangu ni miaka 45, mwajiriwa.
Aha ha ah hatari sana. Unatafura mchawi wa kukua naona.
 
Naona mzee mwenzangu unataka kuumaliza uzee wako vibaya.....umri huo wa kutulia na kupiga hesabu za maisha yako ukitunza afya yako....wewe unataka kujichanganya kwenye mapresha na misongo ya mawazo inayoletwa na ndoa.....
 
kulingana na comment zako kwa jamii kupitia hii post yako sijafurahishwa na baadhi ya majibu yako kutokana na kuwa negative sana ya ugomvi ugomvi.

Nakushauri badilisha life style wewe ni mzee wa taifa unapaswa kuwa mzee bora na wa tofauti mwenye mfano mzuri kwa sisi vijana.

Usiwe mzee wa kujibizana na watu humu au kuwa na comment negative, anyway nakutikia kila la kheri na mungu akupatie itaji lako kwa wakati sahihi na muda mzuri.
 
Na angozomewa kwa kashfa na matusi🤣🤣🤣

Back
Top Bottom