Mke anahitajika; sina vigezo maalum

Mke anahitajika; sina vigezo maalum

Slai

Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Wapendwa,

Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano. Lengo ni urafiki ambao natamani uende hadi katika ndoa. Hata hivyo kama hautafikia ndoa basi nitaelewa tu. Lakini mimi niko tayari kuoa hata mwaka huu huu ikiwezekana.

Kimsingi mimi mwenyewe ni mwanaume wa miaka 33
- Elimu ya chuo kikuu
- Nimeajiriwa
- mrefu kiasi, mnene kiasi

Sitaki kuweka vigezo vigumu kwa mwanamke / binti anayetaka kuwa na mimi. Yeyote aliyetayari aje PM. Maelezo mazuri ndiyo jambo nalopenda. Ukitanguliza picha utakuwa umefanya la maana sana.

Njoo PM.

Asante
 
All the best,but ungeanzia hao unaokaa nao huko mtaani,nyumba za ibada au hata makazini,huku utaishia kupigwa tu
 
Wakija utupatie mrejesho mkuu maake naona wamelala
 
kuna mwingine juzi alikuwa anahitaji mme kwa hiyo mfanye cross multiplication
 
All the best,ukishapata toa ushuhuda basi sio mnamaliza huko huko kimya kimya.
 
Back
Top Bottom