Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 133
- Thread starter
-
- #21
Kumbe lengo lako ni kujaribu tu?!. duh!.
davey hujapata tu jamani? hebu niambie kwanza wewe ni kabila gani ?Ingia PM uone kama najaribu ama lah, mwezi wa 12 tayari una jiwe kwenye kidole pete mkononi, nilikuwa namwelewesha kiongozi ajaribu, kujichelewesha hadi miaka 37 hivi aone mambo yatakavyokuwa mazuri
ngoja nijiweke kwako davey kwanza napenda sana jina lakoHabari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama watoto ni sawa, wasizidi wawili. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo.
Mke namaanisha tutafahamiana, tukiendana tutakuwa marafiki....uchumba....ndoa....hatua a.k.a baby steps, si mpango wa mwendo kasi.
Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano ni PM.
Asanteni
Hahahaaaa yaan umejibu as if tupo wawili tu ndo wapiga mitongozoIngia PM uone kama najaribu ama lah, mwezi wa 12 tayari una jiwe kwenye kidole pete mkononi, nilikuwa namwelewesha kiongozi ajaribu, kujichelewesha hadi miaka 37 hivi aone mambo yatakavyokuwa mazuri
Duh yaan tumewaza sawa.maana nilikua mbioni kuuliza kabiladavey hujapata tu jamani? hebu niambie kwanza wewe ni kabila gani ?
ngoja nijiweke kwako davey kwanza napenda sana jina lako
Duh yaan tumewaza sawa.maana nilikua mbioni kuuliza kabila
Signature yako imenifurahisha, ni kweli kabisa lakini hatuna jinsi, lazima ku compromisengoja nijiweke kwako davey kwanza napenda sana jina lako
mimi hajanijibu hata ni kabila gani huyu mchumba wetu?Duh yaan tumewaza sawa.maana nilikua mbioni kuuliza kabila
Duh yaan tumewaza sawa.maana nilikua mbioni kuuliza kabila
Hahahaa mpaka dakika hii?mimi hajanijibu hata ni kabila gani huyu mchumba wetu?
Mmh kuna makabila mengine hapana mkuu.mapenzi hayazingatii kabila
Mmh kuna makabila mengine hapana mkuu.[/QUOTE
kipi kinasababisha?..bora mwanaume katiwa jando na ana akili zake sioni lingine mie..hebu nieleze..