Mke anahitajika

Mke anahitajika

Kumbe lengo lako ni kujaribu tu?!. duh!.

Ingia PM uone kama najaribu ama lah, mwezi wa 12 tayari una jiwe kwenye kidole pete mkononi, nilikuwa namwelewesha kiongozi ajaribu, kujichelewesha hadi miaka 37 hivi aone mambo yatakavyokuwa mazuri
 
Ingia PM uone kama najaribu ama lah, mwezi wa 12 tayari una jiwe kwenye kidole pete mkononi, nilikuwa namwelewesha kiongozi ajaribu, kujichelewesha hadi miaka 37 hivi aone mambo yatakavyokuwa mazuri
davey hujapata tu jamani? hebu niambie kwanza wewe ni kabila gani ?
 
Habari za leo wana JF,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama watoto ni sawa, wasizidi wawili. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo.

Mke namaanisha tutafahamiana, tukiendana tutakuwa marafiki....uchumba....ndoa....hatua a.k.a baby steps, si mpango wa mwendo kasi.

Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano ni PM.

Asanteni
ngoja nijiweke kwako davey kwanza napenda sana jina lako
 
Ingia PM uone kama najaribu ama lah, mwezi wa 12 tayari una jiwe kwenye kidole pete mkononi, nilikuwa namwelewesha kiongozi ajaribu, kujichelewesha hadi miaka 37 hivi aone mambo yatakavyokuwa mazuri
Hahahaaaa yaan umejibu as if tupo wawili tu ndo wapiga mitongozo
 
Back
Top Bottom