Mke anahitajika

Mke anahitajika

Habarini wanajukwaa,

Naitwa Idriss(miaka 33) naishi Mbezi (Africana) ni mwajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa jijini Dar.

Nahitaji mke (inshaAllah tukiridhiana) Awe muislam /akubali kubadili dini (kama ni christian.Umri kuanzia miaka 27 hadi 30.

Karibuni PM
assalam alaykum ndugu katika iiman, ulishapata mke uliyemhitaji?
 
Back
Top Bottom