Habarini wanajukwaa,
Naitwa Idriss(miaka 33) naishi Mbezi (Africana) ni mwajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa jijini Dar.
Nahitaji mke (inshaAllah tukiridhiana) Awe muislam /akubali kubadili dini (kama ni christian.Umri kuanzia miaka 27 hadi 30.
Karibuni PM