KAJOKELAA
Senior Member
- Oct 17, 2019
- 123
- 107
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha
Sifa
1)Awe mkristo wa dhehebu lolote hasa mromani katoliki isipokuwa msabato
2)Awe na umri kuanzia miaka 20-27
3)Hata akiwa amezalishwa mtoto mmoja siyo mbala,ila asiye na mtoto ila uwezo wa kuzaa upo ni sifa mojawapo ya ziada
4)Asiwe mweusi sana,awe maji ya kunde ila cheupe ni sifa ya ziada
5)Elimu kuanzia darasa la saba hadi kidato cha sita
6)nyuma ajaliwe kidogo maana itapendeza zaidi
7)Asiwe mnywa pombe
8)Awe tayari kuishi ninakofanyia kazi,kama ana ajira awe anafanyakazi mikoa kusini
Mwenye uhitaji kama wangu anifuate inbox
Sent using Jamii Forums mobile app