Mke anahitajika

Mke anahitajika

KAJOKELAA

Senior Member
Joined
Oct 17, 2019
Posts
123
Reaction score
107
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha
Sifa
1)Awe mkristo wa dhehebu lolote hasa mromani katoliki isipokuwa msabato
2)Awe na umri kuanzia miaka 20-27
3)Hata akiwa amezalishwa mtoto mmoja siyo mbala,ila asiye na mtoto ila uwezo wa kuzaa upo ni sifa mojawapo ya ziada
4)Asiwe mweusi sana,awe maji ya kunde ila cheupe ni sifa ya ziada
5)Elimu kuanzia darasa la saba hadi kidato cha sita
6)nyuma ajaliwe kidogo maana itapendeza zaidi
7)Asiwe mnywa pombe
8)Awe tayari kuishi ninakofanyia kazi,kama ana ajira awe anafanyakazi mikoa kusini
Mwenye uhitaji kama wangu anifuate inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoaji wa siku hizi ni sheedah! Punguzeni mashart jamani... vingine havina hata msingi mweeh! Wewe una sifa gani? mweupe au mweusi, una uzazi??? Umejazia au kibamia?? mrefu mfupi???
1. Mkipendana mtakubaliana nani abadili dhehebu... so usabato sio shida
3. Kuzaa ni majaliwa ya Mungu.
4. Ndio mnasababisha watu wachubue ngozi zao
5. Ndio maana wenye flat screen wanaenda tafuta matako ya kichina

Moood ya leo kuandika andika tuuuuuuuuuuu
 
I see kuna binti yuko jirani na dukani kwangu huyu binti anajielewa sana. Kwanza muda unamkuta yuko busy,yuko serious na anachokifanya. Ana heshima kupitiliza,mpaka mabaharia wanaogopa kumtokea. Hata kumtokea tu hutapata hata muda wa kumwaga sera zako. Mpaka moyoni huwa namuombea huyu ni wa kupata mume muelewa. Huyu ni wife material kabisa. Ni mweupe,si mrefu sana. Ana kifigure fulani cha kichokozi kinachoelekea namba 8 kama sio 8 kabisa. Ana chura ya kutosha. Ni mzuri wa sura. Anajitambua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapatikana wap,ikiwezekana mwambie kabisa kama atanielewa niunganishe naye,ikiwezekana tuonane
I see kuna binti yuko jirani na dukani kwangu huyu binti anajielewa sana. Kwanza muda unamkuta yuko busy,yuko serious na anachokifanya. Ana heshima kupitiliza,mpaka mabaharia wanaogopa kumtokea. Hata kumtokea tu hutapata hata muda wa kumwaga sera zako. Mpaka moyoni huwa namuombea huyu ni wa kupata mume muelewa. Huyu ni wife material kabisa. Ni mweupe,si mrefu sana. Ana kifigure fulani cha kichokozi kinachoelekea namba 8 kama sio 8 kabisa. Ana chura ya kutosha. Ni mzuri wa sura. Anajitambua sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ana ziwa kubwa huyo ni mimi mkuu[emoji1787]

Nahisi ananifaa sana huyo binti

wewe ni ME au KE ?

nime'dinda' kidogo hapa nilivyotengeneza picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Mabaharia...! Ahahaaaa...! Usije ukagongea puli mkuu. Aaah...! Kiukweli kabinti kako vizuri sana. Heshima na jinsi kanavyojituma kazi zake. Kanajitambua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom