Mke anahitajika

Mke anahitajika

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
118
Reaction score
27
habar mimi ni kijana wa kiume umri,miaka 33,muislam,maji ya kunde,mwajiriwa serikalin idara ya utawala

natafuta binti wa kuoa umri wowote ila akiwa mdogo zaid yangu itapendeza ,elimu kuanzia kidato cha nne,awe muislam,mzur wa tabia na sura + shape ,nasisitiza awe mzur wa sura,vijana wa kileo wanasema awe pisi,

akubali kupima ukimwi,nipo verious aliye tayar anakaribishwa.

NB:Kigezo cha uzur kitachukuliwa uzito wa juu,aliye tayar aje PM
 
Mkuu hiyo heading iko kavu sana haiko romantic kabisa.
Cheki na To yeye aqeza kukutaftia mnyaki mkali
 
Back
Top Bottom