habar mimi ni kijana wa kiume umri,miaka 33,muislam,maji ya kunde,mwajiriwa serikalin idara ya utawala
natafuta binti wa kuoa umri wowote ila akiwa mdogo zaid yangu itapendeza ,elimu kuanzia kidato cha nne,awe muislam,mzur wa tabia na sura + shape ,nasisitiza awe mzur wa sura,vijana wa kileo wanasema awe pisi,
akubali kupima ukimwi,nipo verious aliye tayar anakaribishwa.
NB:Kigezo cha uzur kitachukuliwa uzito wa juu,aliye tayar aje PM