Mke anahitajika

Mke anahitajika

.
20230411_234817.jpg
 
Hapo mtaani kwako wasichana wote wameolewa? Umeshindwa kuoa unao wajua, unataka kuoa mtu usiye mjua, je Kama atakayejitokeza ameshafanya uchangudoa, uamberuti, au alikua barmaid kinondoni, Ni mchawi, ameshatoa mimba, ashaachika au Ni mmakonde?
Hata kanisani kwako au mskitini kwako umekosa?
Dogo YOU ARE NOT SERIOUS.
 
Back
Top Bottom