Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
These types mentioned can make best wives ever[emoji2]Hapo mtaani kwako wasichana wote wameolewa? Umeshindwa kuoa unao wajua, unataka kuoa mtu usiye mjua, je Kama atakayejitokeza ameshafanya uchangudoa, uamberuti, au alikua barmaid kinondoni, Ni mchawi, ameshatoa mimba, ashaachika au Ni mmakonde?
Hata kanisani kwako au mskitini kwako umekosa?
Dogo YOU ARE NOT SERIOUS.