Mke anahitajika

Mke anahitajika

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu Salaam.

Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM.

Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote anayepumua tu! Akiwa mkoa wa Geita au karibu na hapo itakuwa poa sana.

Natanguliza shukrani za dhati.

Wako Mtiifu,

Gwego.
 
😀😀😀😂😂😂 Tuko mwaka 2023 afu karne nyingine,nani atakubal kushika jembe wakat matrekta yapo.Afu unataka mke au mkulima?
 
Hapo unataka vitu viwili kwa wakati mmoja!!!
Wa kwenda kumgeuza trekta humu JF hayupo labda uko usukumani nenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki kigezo nishakitoa kwenye list mkuu.
 
Wakuu Salaam.

Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM.

Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote anayepumua tu! Akiwa mkoa wa Geita au karibu na hapo itakuwa poa sana.

Natanguliza shukrani za dhati.

Wako Mtiifu,

Gwego.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khe
 
Back
Top Bottom