Mimi ni kijana wa miaka ishirini na sita ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa dar natafuta mdada mwenye miaka 25 na kuendelea awe anayejitambua kabila lolote sichaguii dini wala kabila kama upo interested unaruhusiwa ku pm sina mapungufu yoyote. Kwenye mwili wangu nipo fresh