Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

"Ni Mama wa Nyumbani anashinda home hawezi kucheat"

Hawa wanawake waangalieni hivyo hivyo tu!
 
Achana na hizo sindano za uzaz wa mpango si nzuri kiafya.Ukiona anaendelea ujue unatombewa
 
Huyu ni mke si malaya wa barabarani.

Kama unajua yu cant handle shida za mke bora usioe kabisa. But the guy tayari yupo kwenye ndoa.
Kabla hajafikia uamuzi wowote, woiganie ndoa by any mwans. If all options zisipo faniliwa he has green light ya kumrudisha kwao
 
Acha ujinga wa kufikiria kuachana, hiyo siyo suluhu maana wewe unahitaji mbususu tuu.
Oa mke wa pili matatizo yataisha yenyeweeee.
 
Acha ujinga wa kufikiria kuachana, hiyo siyo suluhu maana wewe unahitaji mbususu tuu.
Oa mke wa pili matatizo yataisha yenyeweeee.
Sina kipato Cha kutoaha
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake. Fanya kuongeza mke wa pili kama dini yako inakuruhusu uone kama ataendelea kuwa hvyo. Kumuacha sio suluhisho,
Kuna jamaa yangu wa karibu sana alikutana na hali kama hii; jamaa akaona isiwe jau. akavuta mchepuko kaupangishia nyimba ikawa kila akitoka kwenye mishe zake anapita kwa mchepuko maisha yanaendelea. mkewe alikuwa na sababu kama za huyo wa mleta uzi. kuchepuka alikuwa hawezi maana kuna geti kali na house girl hana . hii hali huwatokea sasa sijui shida iko wapi. basi siku moja wife wa jamaa akaamua kufunguka kuhusu jamaa jamaa nae akajieleza ushauri ulikuwa wakamuone daktari.
 
Iwapo anafanya yote kasoro ngono tu, basi unahitaji mambo machache tu.

Ila kama hafanyi na majukumu mengine basi pana sehemu kubwa ya kufanya.

Nasubiri ufafanuzi zaidi.
 
Pole sana kwa changamoto unayopitia, jitahidi kuongea naye kwa kina ili muweze kutatua hiyo changamoto.
 
Ndoa usichukulie as scapegoat mkuu, ushanyimwa unyumba mwaka mzima tena without excuse what else do you expect?

Crying like a baby or what? Seems like you're the one among them, Weak!

Give or take weak people don't last long 😎
 
Hivi wakuu huwa hamna priorities zingine zaidi ya migegedo. Mimi nilidhani ndoa ni zaidi ya migegedo. Huyo hana kosa, amepoteza interest tu either za za migegedo au za migegedo na wewe. Mtu kupoteza interest ninkawaida tu. Kama mengine anatimiza kama mke unamuacha kwanini? Maisha ni zaidi ya minyanduano mkuu, hayo mambo unaweza pata hata pengine, ila character ya mke haipatikani kwa kila mwanamke. Jichanganye
 
mgegedo = ndoa

Bila hivyo ni madoa
 
Swala lako linaweza kuwa ni la kiafya zaidi upande wa Mke wako.

Tuna wataalam kwenye AfyaMingle App ambao wanaweza kukusaidia.

 
Ndyo maana nikaleta hapa Ili nipate msaada ,funguq code mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…