Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

Tafuta chimbo jipya fasta,unajua Wazee wetu walikuwa makini hizi mambo jibu lake ni michepuko,Mimi nina mke na wengine wawili wako side chick,lakini Kuna wakati wote wanagima kutoa route natafuta wa mkataba mfupi namaliza kazi huku naendela na wajumbe wangu bila hata kelele,Hawa watu Wana shida kama zote.
Kuwa makini tafuta majibu kama jogoo akiona mademu wanataga wote au kulialia anaenda jirani kula vyombo.
 
Bado mnaoa tu!!!?? Aya...
 
Na wewe mpe matumizi yasiyo ya lazima kwa mbinde, alafu fanya kumui ignore.
Tafuta mbadala
 
Ukitaka kukomesha tabia hii, acha kumuomba mchezo uone atakavyofunguka. Simpo
 
Dah naonaga kumsemea mkeo kwa ndugu zake kwamba hakupi unyumba inakushushia heshima, unaonekana fala
 
Surat an nisaa 4,3 ,umejuaje sio hadithi tu za kutungwa?
Tunga mfano wake halaf ndio nitaamin kama ni za kutungwa

ู‚ูู„ ู„ู‘ูŽุฆูู†ู ุงุฌู’ุชูŽู…ูŽุนูŽุชู ุงู„ู’ุฅูู†ุณู ูˆูŽุงู„ู’ุฌูู†ู‘ู ุนูŽู„ูŽู‰ูฐ ุฃูŽู† ูŠูŽุฃู’ุชููˆุง ุจูู…ูุซู’ู„ู ู‡ูŽูฐุฐูŽุง ุงู„ู’ู‚ูุฑู’ุขู†ู ู„ูŽุง ูŠูŽุฃู’ุชููˆู†ูŽ ุจูู…ูุซู’ู„ูู‡ู ูˆูŽู„ูŽูˆู’ ูƒูŽุงู†ูŽ ุจูŽุนู’ุถูู‡ูู…ู’ ู„ูุจูŽุนู’ุถู ุธูŽู‡ููŠุฑู‹ุง
 
Uzazi una mambo mengi sana hasa wa kwanza, kuna matatizo ya kisaikolojia baadhi ya wanawake huwa wanapata hamu ya tendo inakata kabisa, hasa kama ilikua traumatic birth.

Zingatia alichosema Detective J hapo juu.
Ila wanawake wana mambo mengi sana, ndio maana wazee wetu walikuwa wanaoa wake wawili na kuendelea.

Mmoja hamu ikikata, unadeal na wapili, huyu wa kwanza hamu itarudi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ