Drax Draxlerr
Member
- Sep 3, 2022
- 15
- 21
Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo.
Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo;
Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo;
- Awe muislamu mwenye kufanya Ibada.
- Awe na Elimu angalau Certificate au Diploma, Akiwa na Degree its even more better.
- Awe Mweupe au maji ya kunde.
- Asiwe mrefu sana.
- Awe tayari kufunga ndoa ndan ya miez 6 mpaka 8.