Mke anataka anipe umbea nifanyeje?

Mke anataka anipe umbea nifanyeje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano yalivyo kupeana umbea tena.
 
Ukigoma kusikia umbea wa kazini kwakwe atatafuta mshikaji wa kumwambia

Nakumbuka ex wangu japokuwa sikuwajua wafanyakazi wenzake personally. Niliwajua wote daily nilikiwa nasikiliza umbea wa kazini

Nilipompiga stop, mahusiano yakapoteza kitu
 
Back
Top Bottom