Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Akitaka akupe na kitumbua ukirudi njoo huku tukupe muongozoNi long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke ⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano yalivyo kupeana umbea Tena.