Mke anataka anipe umbea nifanyeje?

Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke ⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano yalivyo kupeana umbea Tena.
Akitaka akupe na kitumbua ukirudi njoo huku tukupe muongozo
 
Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke ⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano yalivyo kupeana umbea Tena.
Ni kawaida kuambiwa hivyo kama wewe mume ni mla chips na hujawahi kumpiga show round tatu hata siku moja
 
Amekuona na wewe ni mbeya mwenzake
 
aiseee mwanaume hata hapendi umbea akizoea tu kwisha anapenda mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…