Una bahati hujaolewa na mimi. Ungenipa hako kakijoleo kako, utake usitake. Si uliapa na ukasaini tena mwenyewe kabisa tena mbele ya watu na Mungu kuwa utanipa bure tena katika shida na raha?
Una bahati hujaolewa na mimi. Ungenipa hako kakijoleo kako, utake usitake. Si uliapa na ukasaini tena mwenyewe kabisa tena mbele ya watu na Mungu kuwa utanipa bure tena katika shida na raha?
Chauro kila siku??????????????? Imezidi bwana tafadhali eehhh
Mmmmh tuko wengi mimi natatizo kama lako but sijaowa ila Girlfriend analalamika nimezidi japokuwa nakutana nae mara nne au tatu kwa week ila nikikutana nae lazima tupige show angalau round tatu, pole mzee atakuzoea tuu.
Mwalimu kukiwa na Neema hakuna utakae muona hapa!! hapa ni kuleta matatizo tu!!Kila siku kesi tu? Hebu mtu aje atuhadithie neema siku nyengine.
Mwalimu kukiwa na Neema hakuna utakae muona hapa!! hapa ni kuleta matatizo tu!!
Hamna kitu; hii kitu haina kuzidi bana; inategemea wote mnaichukuliaje ukiona mwingine anaikimbia ujue hamko level sawa.........hapo ni kuambiana ukweli!
nikiangalia hili jukwaa la MMU napata mawazo ya kuanzisha hospitali ya marazi ya moyo na mishtuko ya ghafla. nazani hii biashara italipa.
Hamna kitu; hii kitu haina kuzidi bana; inategemea wote mnaichukuliaje ukiona mwingine anaikimbia ujue hamko level sawa.........hapo ni kuambiana ukweli!
hhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaa umeona eeh watu humu si mchezo wengine waugua tayari hatujijui msaada wako ni muhimu sana
sasa huyu dada anakimbia kile kilichompeleka kwenye ndoa? au alizani anaolewa ili akaangalie muvi za kanumba?
anzeni na aspirin ikiekspaya mtakuja kwa his majesty klorokwini ze one and ze only in east afrika mashariki na kati. kwenye hii mada mpaka sasa sijaelewa, sasa huyu dada anakimbia kile kilichompeleka kwenye ndoa? au alizani anaolewa ili akaangalie muvi za kanumba?
sasa si aongeze bidii ya kula ma nyanya chungu na mandizi basi, wee unazani kazi rahisi kwa mwanaume kuzuia maji ya uzazi wakati jinsia ya upinzani iko pembeni yake tena ni halali yake. nadhani tuwekeni conclusion kwamba mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume rijali aliekamilika. ipo haja ya kuapply akuku dangerism theoryNi kweli hicho ndo kimempeleka lakini stamina yake ndogo jamaa inabidi aelewe hilo asimfanyie hivyo. Mbona hivyo lakini???
mi huwa nashangaa wakati mwingine binadamu tunapenda/kutaka nini wengine wanalilia wapate mti kila siku wengine wanakimbia kaeni muongee umueleze kabisa satisfaction yako mpaka upate kila siku na kama yupo tayari kusaidiwa na vicheche saa zingine lazima tujifunze kuelewa wenzi wetu wanataka nini with time mnakuwa mnakwenda sambamba sio kulalamika na kukimbia huku na kule hakusaidii
aisee ungekuwa hujaoa ningeshakufanyia fikra bila kujali kama wewe ni mweupe au mfupi.namtafuta mtu mwenye sifa kama zako mwaka wa saba sasa sioni dalili.WanaJF naombeni mnishauri;
Ninaishi na mke wangu kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja mwenye miaka miwili kwa sasa.Katika muda wote wa ndoa yetu nilikuwa mikoani na nje ya nchi hivyo sijwahi kuwa na kwe wangu kwa miezi miwili mfululizo na huko nilikokuwa nilikuwa nikitafuta ''mapozeo'' kupunguza hamu ya tendo.Kwa hivi sasa nimekaa kwa muda mrefu na mke analalamika kuwa niko too demanding kwenye tendo la ndoa kwani katika hali halisi kila siku nafanya na ni minimum of 2 rounds per night.Sasa kwa sasa tuna ugomvi kila siku anadai anachoka na hawezi kuhimili hali hii na mimi naogopa kumsaliti kwa kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya ndoa naombeni ushauri.
aisee ungekuwa hujaoa ningeshakufanyia fikra bila kujali kama wewe ni mweupe au mfupi.namtafuta mtu mwenye sifa kama zako mwaka wa saba sasa sioni dalili.
da!kweli kwenye miti hakuna wajenzi