Mke anataka kunikimbia...

kusoma katikati mya mistari ni sifa nyingine ya infii. Yaani jamaa limeruhusiwa kufanya infii badala ya kufurahi anakuja kulalama huku jf. Dah! I wish my wife wangu angenipangia ratiba ya kugawiana vikojoleo......ingekula kwake mazima.

hivi mama matesha huwa hakupangii ratiba kweli
 
Yaani hii ni infii ambayo inakuja yenyewe automatically
 

Duuh tatizo lako kama langu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…