Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Itategemea sababu zipi anazitoa kuhusu kuachana nawewe ila pia kwakuwa yeye ndio anataka kuachana na pia mnawatoto uliozaa nae basi kisheria mali ni zawatoto yeye asepe na nguo zake tuu kwakuwa ametaka yeye ila muombe kiungwana tuu kuwa kama yupo sirious akupe talaka yeye hiyo itamfanya aweke asiwe na sababu ya kukushitaki popote kwakuwa yeye ndiye kakupa talaka.wadau wa sheria ya mahusiano,ustawi jamii n.k kama kichwa kinavojieleza..endapo mwanamke wako anatengeneza visa ili muachane bila sababu ya msingi...yaaani hataki kuishi na wewe.na mlikuwa pamoja zaidi ya miaka na mna watoto..
..je anaweza kushtakiwa ustawi wa jamii???
je ataweza kumshtaki mumewe kikataliwa kugawana mali..
msaada hapo tafadhali
Jamaa alikosea jambo moja tu,alikosea sana kuacha watoto,Kuna bwana ilimfika hali kama hiyo, aliondoka na begi lake la nguo tu na pesa kidogo mfukoni. Alimuachia mke watoto, nyumba na kila kitu. Kitu ambacho mke hakufahamu ni kuwa rizki aliondoka nayo mwanaume.
Baada ya miaka miwili alikuwa na biashara iliyoshamiri katika mkoa aliohamia. Mali inatafutwa lakini amani na upendo haviwezi kununuliwa.
yani vitu vinavyopewa priority na ustawi wa jamii ni matunzo ya watoto mengine mtamaliza soli za viatu mahakamani ustawi wa jamii hawataki ujinga siku izihuwa kuna taratibu ndefu sana na sasa serikali inataka ipunguze talaka kwa kutotota talaka
Kukaa na mtu anaetaka kuondoka ni mtihani mkubwa sana,na ni hatari sana,huwa kuna taratibu ndefu sana na sasa serikali inataka ipunguze talaka kwa kutotota talaka
Inategemea na ukubwa wa tatizo,kifupi huwa wanazungusha ili kujiridhisha kuwa kweli mna tatizo siyo ujingayani vitu vinavyopewa priority na ustawi wa jamii ni matunzo ya watoto mengine mtamaliza soli za viatu mahakamani ustawi wa jamii hawataki ujinga siku izi
Ndiowadau wa sheria ya mahusiano,ustawi jamii n.k kama kichwa kinavojieleza..endapo mwanamke wako anatengeneza visa ili muachane bila sababu ya msingi...yaaani hataki kuishi na wewe.na mlikuwa pamoja zaidi ya miaka na mna watoto..
..je anaweza kushtakiwa ustawi wa jamii???
je ataweza kumshtaki mumewe kikataliwa kugawana mali..
msaada hapo tafadhali
Aisee.ndio maana nakuwa your secret admirerKuna bwana ilimfika hali kama hiyo, aliondoka na begi lake la nguo tu na pesa kidogo mfukoni. Alimuachia mke watoto, nyumba na kila kitu. Kitu ambacho mke hakufahamu ni kuwa rizki aliondoka nayo mwanaume.
Baada ya miaka miwili alikuwa na biashara iliyoshamiri katika mkoa aliohamia. Mali inatafutwa lakini amani na upendo haviwezi kununuliwa.
Hii ngeni kwangu!! Kwani Talaka anapaswa atoe nani?Itategemea sababu zipi anazitoa kuhusu kuachana nawewe ila pia kwakuwa yeye ndio anataka kuachana na pia mnawatoto uliozaa nae basi kisheria mali ni zawatoto yeye asepe na nguo zake tuu kwakuwa ametaka yeye ila muombe kiungwana tuu kuwa kama yupo sirious akupe talaka yeye hiyo itamfanya aweke asiwe na sababu ya kukushitaki popote kwakuwa yeye ndiye kakupa talaka.