Mke anauma jamani

Mke anauma jamani

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,068
Kila siku nikimuangalia mamawatoto hapa nachanganyikiwa kabisa....sipati picha kwa kweli kama kuna siku atarubuniwa.
 
Basi haya......
Karibuni kijitoupele......
 
Kila siku nikimuangalia mamawatoto hapa nachanganyikiwa kabisa....sipati picha kwa kweli kama kuna siku atarubuniwa.

Du afadhali hujagundua kuwa kuwa tunachinja.
:hatari:
 
Hahahaha sasa kila tu kikushaur hutak kufata huu ushaur hatuna njia nyengine zaid ya hii
 
mfungie speed governor

Nimemfunga....nagegeda mpaka kapangaratiba maana baada ya kujifungua kawa mrembo mara dufu.....kwa kweli huu uwivu umekuja ghafla sana sikua nimejiandaa kuwa na wivu...ni baada tu ya uzazi basi nyama zimemuota makalio, mapaja ,kifua vimetoka exactly kama wale niliokua nawaangalia kwenye mitandao...
 
Back
Top Bottom