Mke anauma jamani

Mke anauma jamani

Mke wala haumi... kinachouma ni roho... na inauma pindi unapofikiria matendo yote matamu anayokufanyia alafu aende kumfanyia mwingine tena labda na zaidi...
 
"kabla hujawa naye kwa hesabu ya haraka haraka alishapita na wanaume si chini ya watano, na hao watano kila mmoja alikuwa na mademu 2-10, any way komaa nae"
 
Mke ni zawadi kutoka kwa mungu,itunze na itakutunza!!!!
Umenenaa iko ivii watwana na wagwana....mke kama ni mwema sio rahisi kurubuniwa....lakini usitegemee muujiza Wa Haya
1.Humuheshimu yeye akakuheshimu....haipo hiyo.
2.humtunzi yeye akakutunza...haipo
3.hujatulia yeye akatulia...haipo hiyo.
4.humpendi na humjali na umeonesha wazi ukategemea mahabaaa na kujaliwa kwa kila namna...unaotaa.....NA MTAENDELEA KUONA VIMADA NDO KILA KITU COZ WAO NDO MWAONESHA KUWALI ZAIDI....SO NA WAO WANAWAJALI PIA....mwishowasikukongolojuuu.
 
Kila siku nikimuangalia mamawatoto hapa nachanganyikiwa kabisa....sipati picha kwa kweli kama kuna siku atarubuniwa.

mwanamke ni mwanamke, udhaifu wa mwanamke upo palepale, ndiyo maana wanaume tunapaswa kuishi nao kwa akili, ukitaka kujua hili jaribu kubadili ratiba ya kurudi nyumbani.
 
Benteke umepotea sana, za siku
Nipo dear, nimebanwa kweli kweli.... siku hizi nimeacha kazi kwa muhindi nimegeukia kilimo na udalali wa mashamba ndio maana niko mbali na computer. Kwa iyo kuingia uku ni kama siku nimepumzika kama leo.
 
Nipo dear, nimebanwa kweli kweli.... siku hizi nimeacha kazi kwa muhindi nimegeukia kilimo na udalali wa mashamba ndio maana niko mbali na computer. Kwa iyo kuingia uku ni kama siku nimepumzika kama leo.
Haya utanitafutia mashamba ya bei chee teh
 
Nimemfunga....nagegeda mpaka kapangaratiba maana baada ya kujifungua kawa mrembo mara dufu.....kwa kweli huu uwivu umekuja ghafla sana sikua nimejiandaa kuwa na wivu...ni baada tu ya uzazi basi nyama zimemuota makalio, mapaja ,kifua vimetoka exactly kama wale niliokua nawaangalia kwenye mitandao...
weka picha yake,ili tuone na na tujue kwa nini hasa unajawa na wivu juu yake
 
Back
Top Bottom