Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Aogopacho mtu ndicho kimpatachosasa nifanyaje....mana hii kitu imeniadhiri kisaikilojia kabisa.
Acha hizo speed governor watu wanaivuka ila aweke kofulimfungie speed governor
ha haha kofuli halafu funguo anaweka wapi?Acha hizo speed governor watu wanaivuka ila aweke kofuli
hahaha kama wewe unarubuni wa wenzio na yeye anarubuniwa!!! yaani wewe utoboe wa watu tu kisha wako akaaa, hahahaha jiandae kisaikolojia,siku ukikuta amekunjwa , ambapo hata unaweza kumuingiza kwenye ganda la kiberiti ndo utaelewa vizuri akili za wanawake....Kila siku nikimuangalia mamawatoto hapa nachanganyikiwa kabisa....sipati picha kwa kweli kama kuna siku atarubuniwa.
Haya uliyosema siyakubali.Mkeo ulimkuta na bikira yake??? Kama jibu ni hapana usiwaze sana, umemuolea mwanaume mwenzio
Kwakoha haha kofuli halafu funguo anaweka wapi?
Acha utani basi mdau...... unataka turudi nyumbani SAA hii tukafumanie?We nani hadi usigongewe
hapo sawaKwako
Naomba ufafanuzi kidogo! Una maanisha kuwa UNAGONGA, ila sio walioolewa?Sijawai kwa kweli ,labda wawe walinidanganya hawajaolewa.
Wee ni nani hadi usigongewe????Acha utani basi mdau...... unataka turudi nyumbani SAA hii tukafumanie?
na mkeo naye hajawahi, labda kwa wale waliomdanganya kwamba hawajaoaSijawai kwa kweli ,labda wawe walinidanganya hawajaolewa.
Niambie unayoyakubali ndege wangu.Haya uliyosema siyakubali.
Ha ha ha. Shosta utaua, utaacha mkaka leo aache kwenda kijiweni na washkaji awahi home tena bila taarifa maana wife anajua Ijumaa ni siku ya Mr na washkaji😎Wee ni nani hadi usigongewe????
Ha ha ha anajipa kazi ya kulinda bahari ye ajue tu kuwa anaongewa na atulieHa ha ha. Shosta utaua, utaacha mkaka leo aache kwenda kijiweni na washkaji awahi home tena bila taarifa maana wife anajua Ijumaa ni siku ya Mr na washkaji😎
Nimekulove bureWe nani hadi usigongewe