Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Hivi hayo mambo yapijiandae kugongewa kama unavyoganga wa wenzio
Benteke umepotea sana, za sikuMimi Benteke...... una maneno kwelikweli we mtoto wa kike.
mke anauma sanaKila siku nikimuangalia mamawatoto hapa nachanganyikiwa kabisa....sipati picha kwa kweli kama kuna siku atarubuniwa.
Umenenaa iko ivii watwana na wagwana....mke kama ni mwema sio rahisi kurubuniwa....lakini usitegemee muujiza Wa HayaMke ni zawadi kutoka kwa mungu,itunze na itakutunza!!!!
Kila siku nikimuangalia mamawatoto hapa nachanganyikiwa kabisa....sipati picha kwa kweli kama kuna siku atarubuniwa.
Inashangaza sana.....Wee ni nani hadi usigongewe????
Nipo dear, nimebanwa kweli kweli.... siku hizi nimeacha kazi kwa muhindi nimegeukia kilimo na udalali wa mashamba ndio maana niko mbali na computer. Kwa iyo kuingia uku ni kama siku nimepumzika kama leo.Benteke umepotea sana, za siku
Haya utanitafutia mashamba ya bei chee tehNipo dear, nimebanwa kweli kweli.... siku hizi nimeacha kazi kwa muhindi nimegeukia kilimo na udalali wa mashamba ndio maana niko mbali na computer. Kwa iyo kuingia uku ni kama siku nimepumzika kama leo.
weka picha yake,ili tuone na na tujue kwa nini hasa unajawa na wivu juu yakeNimemfunga....nagegeda mpaka kapangaratiba maana baada ya kujifungua kawa mrembo mara dufu.....kwa kweli huu uwivu umekuja ghafla sana sikua nimejiandaa kuwa na wivu...ni baada tu ya uzazi basi nyama zimemuota makalio, mapaja ,kifua vimetoka exactly kama wale niliokua nawaangalia kwenye mitandao...
Kwani mkuu wanaondoka nayo?