Wanawake sometimes tunazingua sana.
Ila simhukumu sana japo alichofanya sio kizuri.
Hapo ukute eti analipa kisasi mana waweza kuta huyo mwanaume analalamika kumbe wakati yu mzima alikuwa hashikiki na kumtesa mwenzie sasa huyo naye kaona kwakuwa sasa hana jipya tena aamue atimkie kwingine ale maisha kuliko kuendelea kuteseka mana anajua sasa hivi mume hana nguvu tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.