Mke asiyesoma!

Mke asiyesoma!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
kuowa mwanamke asiyekwenda shule raha sana
ukitaka kwenda kwa mchepuko wako maongezi yanakuwa hivi
mke- safari ya wapi mume wamgu
mume- naenda mwanza kubadilisha profile picture mke wangu
mke- safari njema mume wangu mungu akulinde na mabaya njiani
mme- asante sana mke wangu baki salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara nyingi Mungu huwajaza HEKIMA na Huwaepusha na MABALAA tunayo toka nayo kwa MICHEPUKO wetu..
 
Hivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?
 
teh..unamwambia nkirud tena ntakuw na safar nying kwenda kuangalia notifications zangu kam zimeshatumwa..
 
Hivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?
Mbona mchezo wa karata tatu mpaka Leo watu wanaucheza pamoja na kufahamika kote kuwa ni wizi wa wazi
 
Back
Top Bottom