fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
- #21
Pakikucha tu naelekea kituoniKawashitaki police...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pakikucha tu naelekea kituoniKawashitaki police...
Una miaka mingapi ya ndoa mkuu?Wanandoa mke au mumeo sio adui,huyo ndio rafiki yako,mwandani wako,msaidizi wako,kiburudisho wako,mnalala uchi,mna share liquids zenu ama kwa mdomo au kwa nyuchi zenu,na miongoni mwenu mnameza milenda na uji mzito mweupe,sasa ugomvi wa nini?,
Kutokuaminiana kunatoka wapi? ,vita vya nini,hofu ya nini.Tulieni,kuleni raha,mzeeke pamoja na mzikane kwa kusomeana tanzia.
40 kwa mke wa kwanza,30 kwa mke wa piliUna miaka mingapi ya ndoa mkuu?
Honeymoon? mimi nilishatoka miaka 39 iliyopitaNgoja mtoke honeymoon.... Ikifika ile stage unaambiwa geukia pembeni usinipumulie ndio utaelewa kwanini ndoa ni utapeli
Ndio unatumia fimbo ya ukwaju mkuu?40 kwa mke wa kwanza,30 kwa mke wa pili