JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Ni ushetani flani hivi,hakuna dhambi yenye malipo mazuri hapa duniani...Habari wanandoa na wanauchumba.
Hivi unajua kuwa mwenzi wako anapoamua kujenga nyumba au kufanya jambo la kimaendeleo bila wewe kujua hapo anajiandaa kuishi bila wewe?
Hii dunia ina mambo sana. Unaweza kuona watu wakiishi pamoja wakicheka pamoja na kula pamoja ila mmoja au wote wakaingiwa na ibilisi wa ujinga, tamaa na ufedhuli.
Mtu anaamua ajenge kimyakimya. Tena wengine huwaibia wenzi wao (hujiibia wenywewe) na kwenda kujenga nyumba kwao.
Hii roho ni mbaya kuliko ile roho ya kuchepuka.
Kuna jirani yangu mmoja Mchaga hapa mjini Dar es Salaam ana viwanja 9, huku mke anakijua kimoja tu kati ya hivyo viwanja 9.
Habari wanandoa na wanauchumba.

'Sasa huoni kuwa hiyo ni akili[emoji849]
Mke atapata haki yake na watoto haki zao. Si lazima haki za watoto mke azijue wakati unazitengeneza. Utaratibu wa kuhakikisha mali zinawafikia wanao ukifariki ghafla ni wa muhimu.unamficha mke au mume ili iweje ilhali mna watoto.
Hahahaha sasa watoto zako watazipataje bila mama yao kujua? Mama kujua ina maana watoto pia watajua, watoto kujua ina maana pia mama lazima ajue....! Ukiamua kumficha mama ina maana na watoto umewafichaWanaume wengi wasio na uwezo wa kutafuta mali ndo wana hii kasumba ya kila kitu mke ajue.
Si lazima kila kitu mkeo afahamu. Yule ni mkeo si damu yako. Wakati wowote anaweza kuwa mke wa mwimgine. Tengeneza utaratibu mali zako zisipotee ukifa, watoto wako wazipate.
Hamna mkuu. Kila mtu na bahati yake mkuu.Mnatutisha jamani..
Nitake radhi haraka ndugu.Kama unajua siri za jamaa kiasi hicho basi wewe utakuwa mke mkubwa
Nimewahi kusikia hii piaNdo ivo,hakuna namna.Ila kuna uncle wangu kapata nyumba ya buree...kutokana na mjeshi kumficha mkewe Mali zake na kumthamini rafiki yake.Kafa na kende zake mke hajui kama mume alikuwa na jumba huko.
Labda uweke mazingira ndugu unaowaamini wazijueWanaume wengi wasio na uwezo wa kutafuta mali ndo wana hii kasumba ya kila kitu mke ajue.
Si lazima kila kitu mkeo afahamu. Yule ni mkeo si damu yako. Wakati wowote anaweza kuwa mke wa mwimgine. Tengeneza utaratibu mali zako zisipotee ukifa, watoto wako wazipate.
Hadi huruma naionea hiyo familiaNimewahi kusikia hii pia
Jamaa alimficha mkewe akamjulisha rafiki, alipokufa jamaa kajimilikisha nyumba na hajui ndugu za jamaa yake ikabidi aifanye yake
Ndo ivoNimewahi kusikia hii pia
Jamaa alimficha mkewe akamjulisha rafiki, alipokufa jamaa kajimilikisha nyumba na hajui ndugu za jamaa yake ikabidi aifanye yake
Mwanaume mwenye tabia hizo hana mali za kumficha mke.Labda uweke mazingira ndugu unaowaamini wazijue
Lakini hebu tuwe na ubinadamu, mke kukupa haki ya ndoa, kukufulia, kukupikia, kukuuguza ukiumwa, saa zingine ni mlevi mbwa unarudi na matapishi anafua nguo, au unapenda totozi unapiga mambo huko mtaani dada wa watu hajui anakuja kufua janaba zako
Mimi huwa nafikiria mengi nahitimisha kwamba acha aje afaidi tu mwenyewe
Kuona mwanamke si nduguyo eti atafaidi nafikiri ni roho ya kibinafsi
Inawezekana kabisaaa na sio kujenga tu na mambo mengine yanafanyika bila kushirikishana uku mkishirikishana vichaaaacheMimi najaribu kufikiria mazingira wezeshi kufanya hayo bila mmoja kujua
Najua kwa namna yoyote iwe mleta ugali nyumbani ni mume, mke au wote wawili inawezekanaje kufanya jambo mwingine asijue?
Najua panaweza kuwa na pato la ziada ambalo mmoja hajui lakini ugumu utamuwia penye kufanya hilo jambo lake na mwingine akitaka mfanye la familia
Yaani kama mume anajenga kwa siri na wewe mwanamke ukikomaa mjenge ya familia hapo ndio utajua kuna kitu, atabishaje? Akibisha utambana, akikubali jambo lake litafeli
Najaribu ku-imagine mko kwenye ndoa na huwa hamzungumzii kabisa maendeleo ya familia, hapo mtu atajenga kwa siri lakini kama mna plan za pamoja mtu anajengaje?
Au tuseme labda mlishajenga mnayoishi kwahiyo hamzungumzii mambo makubwa tena hali inayompa mtu mwanya wa kujenga kwa siri? Nyie mtakuwa wafu? Hata kama mmeshajenga bado kuna plan zaidi
Maswali yote haya najaribu kuelewa inawezekanaje mmoja akajenga bila mwingine kujua
Wapo wana mimali na kila umiliki wake kaandika jina la mke....tena matajiri kabisa.....mwanaume anayemilikisha ndugu mali badala ya mama wa watoto wake aiseee hayajamkutaMwanaume mwenye tabia hizo hana mali za kumficha mke.
1 katika 1000. Halafu kupata mke wa hivyo ni 1 katika 10000Wapo wana mimali na kila umiliki wake kaandika jina la mke....tena matajiri kabisa.....mwanaume anayemilikisha ndugu mali badala ya mama wa watoto wake aiseee hayajamkuta
Inawezekana vizuri tu watoto wako warithi mali zako ambazo ata mke wako alikuwa hazijui.Hahahaha sasa watoto zako watazipataje bila mama yao kujua? Mama kujua ina maana watoto pia watajua, watoto kujua ina maana pia mama lazima ajue....! Ukiamua kumficha mama ina maana na watoto umewaficha