Mke bora aliyetoka kwa bwana

Mke bora aliyetoka kwa bwana

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Miaka iliyopita, nilichepuka na dada mmoja; kwa bahati mbaya yule mdada alinogewa na akatamani kupindua meza; kwa kuniwekea mazingira, nikikutana na mwanamke mwingine, jogoo asisimame ila kwake tu.

Siku moja niko na 'wife', jogoo akagoma kabisa kusimama, kula kongoro, mara mbuzi n.k hakuna kitu; ndipo wife akaniuliza, kuna mtu yeyote uliyelala naye; ikabidi niwe mpole, nikamwambia ukweli, na wala hakukasirika; ikabidi tutafute njia ya matibabu.

Siku nyingine tena, nikachepuka tena; nikakaa kama mwezi hivi bila kufanya tendo la ndoa, ghafla naamka asubuhi nikiangalia kitendea kazi, kimevimba upande mmoja.

Nilipata mshituko mkubwa sana, ikabidi nimpigie simu 'wife' na kumueleza kilichojiri.

Akaniuliza, ulishachepuka na mtu yeyote? Nikawa mkweli, na kumwambia, ndio ni kama mwezi hivi; Mbaya zaidi hakukasirika, akaniambia kwa lugha ya upole, inawezekana ni UTI, nenda hospitali ukachukue vipimo. Hapo hapo akanitumia na hela ya kununulia matunda.

Nilivyoenda hositali, wakanipima vipimo vyote, na wakakuta nina UTI na iko juu sana, nikaandikiwa dawa na kuanza dozi.

Cha kushangaza 'wife' hajanilaumu, zaidi ya kunikumbushia kila muda nitumie dawa, nile nishibe pamoja na matunda, mpaka nilipo pona kabisa.

Kuanzia hapo, nikaamini kweli; huyu ni mke bora aliyetoka kwa bwana.​
 
Yani unaendekeza uzinzi alaf unasingizia mke katoka kwa Bwana.

Mkuu, ogopa sana mtu unayemkosea alaf Wala hakasiriki, na hakuulizi. Ishi nae kwa taadhari.
Anaweza kuwa anatunga sheria?
 
Me nilielewa vibaya, Nilijua kaachika ndio wewe ukamuoa.
#Usemage bwana gani Kaka.
 
Yani unaendekeza uzinzi alaf unasingizia mke katoka kwa Bwana.

Mkuu, ogopa sana mtu unayemkosea alaf Wala hakasiriki, na hakuulizi. Ishi nae kwa taadhari.
Mwanamke kutokasirika unapo zini ndio mke mwema toka kwa BWANA? BWANA amehalalisha uzinzi? Malipo NI hapahapa
Siku ukikuta mkeo amereveange ndo utajua uzinzi unavyouma
 
Subiri tukio mkuu HUTAAMINI NAKUAMBIA HUTAAMINI..
 
Back
Top Bottom