Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu. Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.
Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila. Mimi ni muislam, mwenye umri wa miaka 35, natafuta mchumba atakaekuwa mke, kabila awe Muhaya.
Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu. Makazi yangu nilikoajiriwa ni mkoa wa Tanga. Mwanamke ninayemtafuta awe na vigezo vifuatavyo:
1. Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazoamrisha Mungu kufuata kama mwanamke.
2. Awe mhaya kikabila.
3. Awe mrefu wa wastani.
4. Awe na elimu ya kuanzia sertificate, deploma na degreee.
5. Asiwe na mtoto.
6. Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7. Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa, kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.
Atakayekuwa tayari kwa vigezo hivyo namkaribisha PM tuyajenge.
Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu, ndio kitu ninachoamini zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app