Mke bora anahitajika

Mke bora anahitajika

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
1,042
Reaction score
2,005
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu. Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.

Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila. Mimi ni muislam, mwenye umri wa miaka 35, natafuta mchumba atakaekuwa mke, kabila awe Muhaya.

Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu. Makazi yangu nilikoajiriwa ni mkoa wa Tanga. Mwanamke ninayemtafuta awe na vigezo vifuatavyo:

1. Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazoamrisha Mungu kufuata kama mwanamke.
2. Awe mhaya kikabila.
3. Awe mrefu wa wastani.
4. Awe na elimu ya kuanzia sertificate, deploma na degreee.
5. Asiwe na mtoto.
6. Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7. Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa, kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.

Atakayekuwa tayari kwa vigezo hivyo namkaribisha PM tuyajenge.

Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu, ndio kitu ninachoamini zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huko Tanga pia ufanye mchakato mapema wa kuhama kurudi kwenu Kagera kwa hao Wahaya wenzako! Maana sisi wenye Mkoa wetu tumeshaachana kitambo na hizo imani za ukabila.
 
Mimi naona bora amekuwa fair kwa kutaka kuoa kaisike wa kabila lao maana hawa wanawezana wenyewe kwa wenyewe ingawa hata wenyewe kwa wenyewe ni mbinde pia sometimes!

Hawa jamaa wanamapana sana , yataka moyo kuishi nao!

Ukiolewa kwao wapo kukutafuta makosa ili wakutie ila [emoji108][emoji108][emoji108]

Acha waoane wenyewe aisee!

Hongera mleta mada kwa kuwa fair kwa kuhitaji wa huko kunako asili, jadi na chimbuko lako mwaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unamisi kununua godoro mpya kila mwaka (katerero)

CC Zero IQ
 
C uende bukoba ukawatafute mbona wapo wengi tuu

121.
 
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu.Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.

Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila.Mm ni muislam mwenye umri wa miaka 35 ,natafuta mchumba atakaekuwa mke kabila tajwa hapo juu.

Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu.Makazi yangu nilkoajiriwa ni mkoa wa Tanga.Mwanamke ninae mtafuta awe na vigezo vifuatavyo:
1.Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazomrisha Mungu kufuata kama mwanamke
2.Awe mha kikabila
3.Awe mrefu wa wastani
4.Awe na elimu ya kuanzia sertificate,deploma na degreee.
5.Asiwe na mtoto.
6.Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7.Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa ,kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.

Atakae kuwa tiyari kwa vigezo ivyo namkaribisha PM tuyajenge.Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu ndoo kitu ninachoamini zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tena uzi wako urekebishe angalau makosa kumi miongoni mwa mengi yaliyopo then uulete tena.

[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Elim imenikosesha mme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Degree holder 😁😁😁 yajayo,yanafurahisha...😂
Tena kitengo cha elimu...
 
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu.Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.

Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila.Mm ni muislam mwenye umri wa miaka 35 ,natafuta mchumba atakaekuwa mke kabila tajwa hapo juu.

Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu.Makazi yangu nilkoajiriwa ni mkoa wa Tanga.Mwanamke ninae mtafuta awe na vigezo vifuatavyo:
1.Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazomrisha Mungu kufuata kama mwanamke
2.Awe mha kikabila
3.Awe mrefu wa wastani
4.Awe na elimu ya kuanzia sertificate,deploma na degreee.
5.Asiwe na mtoto.
6.Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7.Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa ,kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.

Atakae kuwa tiyari kwa vigezo ivyo namkaribisha PM tuyajenge.Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu ndoo kitu ninachoamini zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
habari umeshapata huyo mke au bado kama bado plz nicheki kwa namba hzi 0718616236. nina vigezo vyote utakavyo.
 
Back
Top Bottom