Mke darasa la 7

Mi naona ndoa ni maelewano na upendo, regardless kasoma au hajasoma. Cha muhimu kama ni darasa la saba, mtafutie means yoyote ya kuingiza kipato ili asikutegemee kwa 100%
 
Mi naona ndoa ni maelewano na upendo, regardless kasoma au hajasoma. Cha muhimu kama ni darasa la saba, mtafutie means yoyote ya kuingiza kipato ili asikutegemee kwa 100%

kweli kabisa mkuu
 
Sasa vipi ukimbilie bussiness bila yeye kusoma, inabidi wewe umsomeshe kwanza...afu mbona wengi tu wake zao wameishia la saba na wameisha chukua mpaa ma master degree sababu walijiendeleza, hata yeye anaweza kufika huko.

iko fanyia kazi shauri huu..kijana
 


Duuuh! Seriously kuna mawazo watu yamewaganda kama haya! Too bad! Kaka mwendeleze apate elimu ni muhimu sana! Kukosa shule nako kunarahisisha urahisi wa kudanganyika na mambo ya mjini akikutana na mabush lawyer hatatumia kichwa chake atazani ndo ujanja wa mjini! Shule inasaidia sana mtu kutopapatikia kila ukionacho mpende msipende!
 
Kusoma ni tofauti na kazi nyingine.Kama yupo tayari,mpeleke shule asome.Atakusa kukusaidia kusomesha watoto na maendeleo kwa ujumla.
 
Hakuna tatizo kama mnapendana, mimi "wangu" hata darasa halijui lilivyo...
 
MSISITIZO: std 7 HAKUNA KUOLEWA, Nitaagiza iwe kwenye Katiba mpya, coz women hawatasoma ns watakuwa mbumbumbu mbuuuuuuu...., even F4 failures hakuna kuolewa THIS IS 21 century, mtakosana tu, difference ya elimu kubwa hivyo haifaiii....Ngoja katiba mpya ije....i am done
 
Mtafutie shule inayoendana na elimu yake. akiwa na elimu ataweza hata kusimamia mali na familia hapo baadae endapo Mungu atafanya apendavyo.
 
Wema wa mwanamke sio elimu au urembo. Hata kama ni wa darasa la 7, ikiwa yuko confident na extrovert na ukimpa exposure, in a short while utaweza kujadiliana nae hata nuclear physics au the big bang theory. We do a very great disservice kutokuwapa exposure wake zetu. Tuajaribu kuwaona kuwa ni partners na sio slaves. Thats what I do.
 
Mpeleke shule,siku hzi zipo sekondaei kwa miaka miwili kule atasoma vizuri tu kwan wanafunzi wengi ni watu wazima,
Na akifaulu vizuri aendelee 4m 5 na 6 kwa mwaka mmoja so ndai ya miaka 3 atakuwa keshamaliza elimu ya sekondary,
Na akifaulu vizuri msapot aende chuo,na watu wa aina hii huwa na shauku ya kusoma na siku zote huwa wanaperform vizuri sana,
Achana na maneno ya wanaokuvunja moyo,coz km ni thaman ya mapnz yake kwako na yako kwake unayajua ww,
Hii italeta maendeleo kwa familia na atakua msaada zaidi kufatilia watoto na maendeleo yao wakiwa wanasoma.
 

This is a wise advice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…