Mke darasa la 7

Mke darasa la 7

Impossible, minimum qualifications for everything nowdays aje na FORM 4 certificate, meaning even Fm 4 Div 0 hafai kuolewa, coz they are vacuum minded, empty headed, dark brain, hamtaelewana kamwe, 7bu most of time ataona unamdharau kisa unamshauri vitu vingi or kumwelekeza mara nyingi so ataona unamwona wa chini, na mwanamke ukisha mtia anataka awe LEVEL MOJA NA WW, so ni ngumu mno, impossible, no humanity hapa, funguka uone ukweli, sasa hivi NDOA UWE NA CHETI MINIMUM FM4 . iwe umefaulu tena, i am out....

hah haahhhaaa ..kwaiyo ata nikikupenda kaka utanitosa kisa KITABU?
nakupenda jamn wewe ila la saba mwenzio unasemaje sasa?:yawn:
 
duh ila ukimsomesha kaa ukijua vijana siku hz watundu so watakupigia...
tena sio stereotype as u said huyo shemeji akifika darasani atagundua ww huna lolote,
najua ss hv mpaka unafikiria kumsomesha ni mavitu unayopewa ila akipandisha kidato atagundua unamfuja...

mwache home asikilize taarabu.... vp ongeza elimu yako au love inakuchanganya

yamenikuta, this is true indeed....
 
mie niliolewa form four, ss hivi nina masterz, na ndoa ipo gado, we msomeshe tu, kama wako imeandikwa atabakia kuwa wako tu
 
Mpeleke shule ila uwe mwangalifu msomeshe course za kawaida za kumjengea confidence sio kumpa kiburi.
 
hah haahhhaaa ..kwaiyo ata nikikupenda kaka utanitosa kisa KITABU?
nakupenda jamn wewe ila la saba mwenzio unasemaje sasa?:yawn:

Hata kuguna kutakuwa hakulingani ktkt ya game,
Std 7 or fm 4 Div 0, is toooooo looooow, feelings za vitu vingi vitakuwa hamendani, kumbuka love is not only SEX
ni jumla ya maisha yooote meaning plus sex, narudi Std 7/ fm4 div 0 kwa msomi
Ndoa haipo, period...!!!
 
mie niliolewa form four, ss hivi nina masterz, na ndoa ipo gado, we msomeshe tu, kama wako imeandikwa atabakia kuwa wako tu

Wanawake hawana shukrani, wafanyie vyote, SIKU MOJA ANASAHAU YOTE NA HAJALI
SO KAMA HAJASOMA HADI LEVEL YANGU SIMPELEKI SHULE...labda nimezaa nae na nimemuoa tayari insisting LABDA
 
Hata kuguna kutakuwa hakulingani ktkt ya game,
Std 7 or fm 4 Div 0, is toooooo looooow, feelings za vitu vingi vitakuwa hamendani, kumbuka love is not only SEX
ni jumla ya maisha yooote meaning plus sex, narudi Std 7/ fm4 div 0 kwa msomi
Ndoa haipo, period...!!!

Thank you mr president. . You have nailed it. .
 
Hata kuguna kutakuwa hakulingani ktkt ya game,
Std 7 or fm 4 Div 0, is toooooo looooow, feelings za vitu vingi vitakuwa hamendani, kumbuka love is not only SEX
ni jumla ya maisha yooote meaning plus sex, narudi Std 7/ fm4 div 0 kwa msomi
Ndoa haipo, period...!!!

Mr. President labda kama wewe tu humtaki std 7.
Kuna Dr mmoja(PhD holder) ni Mnyakyusa wa kyela anaishi Kisukuru. (i believe yumo jf) mkewe ni STD 7 wa kijijini,
kampeleka kujifunza cherehani,ni fundi nguo tena sio wale mafundi quality ni kupinda kanga na kuweka viraka sana.
Mi naona wameridhika
 
Wanawake hawana shukrani, wafanyie vyote, SIKU MOJA ANASAHAU YOTE NA HAJALI
SO KAMA HAJASOMA HADI LEVEL YANGU SIMPELEKI SHULE...labda nimezaa nae na nimemuoa tayari insisting LABDA
Mr pres, nakwambia hayo ni mawazo ya kimaskini sana, tungefanya mambo kwa kuwaza ya mbele basi hata manyumba tusingejenga au kutengeneza future zetu kwa vile tu tunaweza kufa siku yeyote, kuna leo na kesho,kuna wakati mbaya unapita mwnaume anakuwa hana hata senti mwanamke unainuka na kusaidia kuokoa jahazi
 
Mr. President labda kama wewe tu humtaki std 7.
Kuna Dr mmoja(PhD holder) ni Mnyakyusa wa kyela anaishi Kisukuru. (i believe yumo jf) mkewe ni STD 7 wa kijijini,
kampeleka kujifunza cherehani,ni fundi nguo tena sio wale mafundi quality ni kupinda kanga na kuweka viraka sana.
Mi naona wameridhika

Kwa nje u said umeona wameridhika, kwa njeee.... ur missing something my frnd
TUNAONGELEA VITU VYA NDANI MNOOO, Hearts zao in their daily life, so tunatumia our mental power to figure out
their connectivity deeply in, sio juu juu tu like ukiona rangi ya kijani moja kwa moja unasema CCM, so hawaendani period...!!
 
Back
Top Bottom