mke hataki kufanya sex,msaada plz

mke hataki kufanya sex,msaada plz

nojo

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
90
Reaction score
10
habari wanajf! nina rafik yangu ambaye ameoa miaka 2 iliyopta na walikaa vyema ktk ndoa yao mwanzon mwa hiyo ndoa yao,tatzo ni kwamba kwasasa jamaa ananiambia hana furaha ktk iyo ndoa yao kwan tendo hulipata kwa nadra sana,yan mpaka mwanamke atake mwenyewe ndo atapewa inaweza kupta hata wiki kungonoka tofaut na mwanzo ambapo jamaa akitaka tu hupewa yan huko awali,swali ni je huyo mwanamke anaweza kuwa ana mtu pemben au ni tatizo?msaada wadau
 
Muulize mke wake ndio atakupa jibu sahihi mkuu.
 
Ni rahisi kumsingizia mtu mwingine.kwanini usikubali kwamba wewe ndiye mhusika, na unaomba ushauri ili tuanze kukupa maelekezo?bado mko kitandani au kaenda zake jikoni kupika?
Muulize mke wake ndio atakupa jibu sahihi mkuu.
 
Kaa na mkeo uongee naye, kama mwanzo iliwezekana kwa nini sasa liwe tatizo.
Hii habari naamini inakuhusu wewe, wananume huwa hatuna kawaida ya kusemeana matatizo in public.
 
inawezekana na sio lazima mke awe anagonjwa nje, ni mabadiliko tu. Cha msingi we ongea na shemeji yetu myamalize
 
Piga besheni au kaoe Mke wa pili


Sent via EyePhone
 
Kwani huo nao ni ugonjwa mpaka ulete uzi JF Doctor??? Mambo mengine inatakiwa huyo jamaa yako aunganishe dots ndiyo anaweza kupata kitu majibu sahihi!

Kwa nini hapewe?? Je mke kipato kimezidi na kumletea kiburi? Alishawahi kucheat mke wake akajua na sasa analipiza kisasi? Mke analea mtoto na yuko busy sana na mtoto kuliko mume?
 
Kaa na mkeo uongee naye, kama mwanzo iliwezekana kwa nini sasa liwe tatizo.
Hii habari naamini inakuhusu wewe, wananume huwa hatuna kawaida ya kusemeana matatizo in public.

Watu wengine bana........kwani akisema ni yeye si tunamjua......?
 
Pole,mwambie wazungumze................ labda mwenzie anachoka
 
Khaaaaaaaaaaaaa ushindwe na mawazo yako potofu,mwanamke ni mtu kama wengine huyo unayetamani angebakwa angeweza kuwa hata dada yako ungejisikiaje?Heshima kwa akina mama tafadhali.
Kama vipi Mbake si Mkeo!
 
Muambie arudishe yale yote aliyokuwa anamfanyia na yanampa hamu ya tendo la ndoa. Kama unapotea zako asubuhi unaenda kazini, unatokea kama msukule home na kuangalia mpira. Ukiingia kitandani ndo unanyoosha mkono! Lazma ikule kwako. Hata nyama unaona ni tamu, tunaiweka chumvi na vitunguu swaumu kabla, hadi saa ya kupika inakuwa chumvi imeingia hadi kwenye mfupa!
 
Unata utiane kila siku kwani ni chakula usime usipokula wiki unakufa? Pumzikeni jamani

c ivo ndugu,yeye ameona ni mabadiliko ya ghafla na c kwamba walikuwa wanatiana kila cku bali anapotaka hupewa na yawezekana kwa wiki mara mbili au tatu ila kwa sasa akiomba huambiwa kachoka na yaweza kupta wik hapewi na hata acpoomba tofaut na zaman.
 
mbona unatoa majibu kama vile jamaa uko naye hapo?
c ivo ndugu,yeye ameona ni mabadiliko ya ghafla na c kwamba walikuwa wanatiana kila cku bali anapotaka hupewa na yawezekana kwa wiki mara mbili au tatu ila kwa sasa akiomba huambiwa kachoka na yaweza kupta wik hapewi na hata acpoomba tofaut na zaman.
 
Dawa yake ndogo sana. Mwambie asimuombe tena, atafute mwanamke mwingine wa kumtoshelezea mahitaji yake, ukipita mwezi hajamuomba penzi mkewe lazima atajiuliza kuna nini, atakapomuomba mwambie na yeye ajibu amechoka. Yaani mwanamke anakuhangaisha kichwa, mi sitaki kabisa ujinga huo. Na akiendelea hivyo atamsumbuwa kweli huyo kishashikwa masikio na mtu.
 
huyo rafiki yako sijui wewe mwenyewe anatakiwa kujua mke wake ana matatizo gani..na hiyo ni kwa kukaa na kuzungumza tu
Vunja ukimya, Zungumza!!!!
 
Back
Top Bottom