Mke hataki kuniamini kwa hili...msaada wenu

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
I attended a burial ceremony yesterday. The tradition there demands that at every burial ceremony, an old man who is "sangoma" must come out and tell the people who will die next. And so the "sangoma" came and said the next person to die shall be the first person to leave the burial ground. As I speak since yesterday every one is still here including the "Sangoma". My wife does not believe me
 
kamateni huyo mganga afu yeye ndo mumtangulizee akigoma kwenzi, mbata na makofii vitumikeee....
 
Mkuu anatakiwa mtu aondoke kwa ridhaa yake
 
Tangulia kuondoka uone kama utakufa. Mwambie kuwa umejitoa mhanga kuokoa jahazi. Uwe tayari kwa yafuatayo
1. Usipokufa, ukifika home hutaaminika kabisaaaa.
2. Ukifa atakuamini ukiwa mortuary. What a pity!
 
hahah hyo kali asee

hakika watu bado wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kkkkkkkkk endeleeni kukua tu hapo makaburini ila siku nyingine ukiweka kichwa cha habari cha kiswahili andika pia kiswahili sio huku mchanyato ulioandika hapa
 
mkuu fanya hivii...mwambiee wife au jamaa wako wa karibu kwa sms akanunuee kanzu na baibuii nyeupee chokbaibuii ya ujenzi afu apitee buchaniii anunuee damuu ya mbuziii ..avae kanzu na hijabu pia apakee chokaa usoni damu ya mbuziiiii kiasi kidogoo apakee mdomoniii kinginee akimwagee katikaa kanzu maeneo ya shingonii piaa awekeee kucha za bandiaa ndefuu sana kama nsyukaa afu ajeee mpela mpelaa yaani speed hapo mlipo huku akitoaa miungulumo na sautii za ajabuu ilaa wewee usikimbieee ...game over..usisahau kunipa mrejeshoo
 
Ha ha ha....
 
Hahahaha hili ni suluhisho la kudumu
 
Lakini mkuu, si mumpe kibano huyo sangoma....
 
mkuu fanya hivii...mwambiee wife au jamaa wako wa karibu kwa sms akanunuee kanzu na baibuii nyeupee chokbaibuii ya ujenzi afu apitee buchaniii anunuee damuu ya mbuziii ..avae kanzu na hijabu pia apakee chokaa usoni damu ya mbuziiiii kiasi kidogoo apakee mdomoniii kinginee akimwagee katikaa kanzu maeneo ya shingonii piaa awekeee kucha za bandiaa ndefuu sana kama nsyukaa afu ajeee mpela mpelaa yaani speed hapo mlipo huku akitoaa miungulumo na sautii za ajabuu ilaa wewee usikimbieee ...game over..usisahau kunipa mrejeshoo
Hahahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom