Mke hataki kuniamini kwa hili...msaada wenu

Mke hataki kuniamini kwa hili...msaada wenu

mkuu fanya hivii...mwambiee wife au jamaa wako wa karibu kwa sms akanunuee kanzu na baibuii nyeupee chokbaibuii ya ujenzi afu apitee buchaniii anunuee damuu ya mbuziii ..avae kanzu na hijabu pia apakee chokaa usoni damu ya mbuziiiii kiasi kidogoo apakee mdomoniii kinginee akimwagee katikaa kanzu maeneo ya shingonii piaa awekeee kucha za bandiaa ndefuu sana kama nsyukaa afu ajeee mpela mpelaa yaani speed hapo mlipo huku akitoaa miungulumo na sautii za ajabuu ilaa wewee usikimbieee ...game over..usisahau kunipa mrejeshoo

Asante kwa kunianzishia siku kwa kicheko. Wewe kiboko hehehe
 
Back
Top Bottom