Mke HIV + anaitajika

MOTEMANANGAI

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
18
Reaction score
14
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mke HIV+ urefu wangu ni cm 165 au futi 5.4 ni mfanyabiashara na sijaanza ARV's sababu CD 4 bado zipo juu nimeupata ivi karibuni.

Vigezo ni;
1. Awe maji ya kunde, mwupe au mwarabu
2. Muislam na anaijua dini
3. Miaka 18-28
4. Asiwe ana mtoto sababu na mimi sina
5. Urefu cm 140-165
6.Sio lazima awe na kazi wala biashara
7.Mkazi wa mkoa wowote ila Dar ni bora zaidi
8. Mwenye nia ya kuolewa
9. Asiefahamika kwa ndugu zake kwamba ni HIV+
10. Mwenye kujali afya yake

Kama unasifa hizo ni PM
 
Naam! kuna uzi umu ulipita ebu cheki,.. All the best,
 
Naam! kuna uzi umu ulipita ebu cheki

LKN WA UZI ULIOPITA YY SI MUISLAM
 
Kuna mtu nitakuunganisha nae....ameenea vizuri kwenye hiyo profile
 

Inawezekana ukahisi una nguvu lakini mwongozo wa WHO unataka kila mwathirika atumie dawa, regardless ya CD4 zake. Naelewa ni utumwa wa dawa, lakini kwa maendeleo mazuri ya wewe na mwenza wako, ni bora uanze kutumia dawa.

Ndoa huwa inasababisha kupatikana kwa mtoto. Kama unataka mwanao asiwe na maambukizi, anzeni dawa mapame kabla ya kuzaa ili mtoto asipate maambukizi.
 
Wakuu bado natafuta nipo serious tafadhali mtu yoyote alie serious anijulishe naomba tuwe wakweli wala tusiogope ivyo ndio ilivyopangwa
 
Miongozo ya sasa ya shirika la afya duniani '0' '0' '0' inataka yeyote anayepimwa na kukutwa positive aanze ARV mara moja hiyo ya kusubiria CD4 zishuke ni treatment ya kizamani kidogo
 
Hongera kwa kujitambua na kuwa muwazi. Karibu tuyajenge maisha
 
Aiseee we ndio unataka kumuua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…